Sera hii inalazimisha historia ya kuvinjari kuletwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi cha sasa ikiwa imewezeshwa. Ikiwa imewezeshwa, sera hii pia inaathiri kidadisi cha kuleta.
Ikiwa imelemazwa, hakuna historia ya kuvinjari inayoletwa.
Ikiwa haijawekwa, mtumiaji anaweza kuombwa iwapo anataka kuleta, au uletaji unaweza kufanyika kiotomatiki.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome\Recommended |
Value Name | ImportHistory |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |