Vigezo vya URL ya papo hapo inayotumia POST

Hubainisha vigezo vinavyotumika wakati wa kufanya utafutaji wa papo hapo kwa kutumia POST. Ina vikundi vya jina/thamani vinavyotenganishwa na koma. Kama thamani ni kigezo cha kiolezo, kama {Hoja za utafutaji} katika mfano hapo juu,
itabadilishwa na data ya hoja za utafutaji za kweli.

Sera hii ni ya hiari. Isipowekwa, ombi la utafutaji wa papo hapo litatumwa kwa kutumia mbinu ya GET.

Sera hii inatumika tu endapo sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Vigezo vya URL ya papo hapo inayotumia POST

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameDefaultSearchProviderInstantURLPostParams
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)