Leta injini za utafutaji kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza

Sera hii inailazimisha mitambo ya kutafuta kuingizwa kutoka kivinjari chaguo-msingi cha sasa iwapo itawashwa. Ikiwashwa, sera hii pia itaathiri kidadisi cha kuingiza.

Ikizimwa, mtambo chaguo-msingi wa kutafuta hauingizwi.

Ikiwa haitawekwa, mtumiaji anaweza kuomba aingize, au huenda ungizaji ukatendeka kiotomatiki.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameImportSearchEngine
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)