Ruhusu watumiaji wa mbali kutumia madirisha yaliyoinuliwa katika vipindi vya usaidizi wa mbali

Mipangilio hii ikiwashwa, seva pangishi ya usaidizi wa mbali itatumiwa katika mchakato kwa ruhusa za uiAccess. Hii itaruhusu watumiaji wa mbali kuwasiliana kwa kutumia madirisha yaliyoinuliwa kwenye eneo-kazi la mtumiaji wa ndani.

Mipangilio hii ikizimwa au isipowekwa, seva pangishi ya usaidizi wa mbali itatumiwa katika muktadha wa mtumiaji na watumiaji wa mbali hawataweza kutumia madirisha yaliyoinuliwa kwenye eneo-kazi.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostAllowUiAccessForRemoteAssistance
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)