Hulazimisha Hali Salama ya YouTube kutumika na kuzuia watumiaji kubadilisha mipangilio hii.
Ukiwasha mipangilio hii, Hali Salama kwenye YouTube itatumika kila wakati.
Ukizima mipangilio hii au usiiweke kama thamani, Hali Salama kwenye YouTube haitatekelezwa.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | ForceYouTubeSafetyMode |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |