Leta data ya fomu ya kujaza otomatiki kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza

Sera hii inalazimisha data ya fomu ya kujaza otomatiki kuletwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi cha awali ikiwa itawashwa. Ikiwashwa, sera hii pia inaathiri kidirisha cha kuleta

Ikizimwa, data ya fomu ya kujaza otomatiki haitaletwa.

Ikiwa haitawekwa, huenda mtumiaji akaombwa kuleta, au huenda uletaji ukafanyika kiotomatiki.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameImportAutofillFormData
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)