Toleo la chini la SSL limewashwa

Onyo: Matumizi ya SSLv3 yataondolewa kabisa kwenye Google Chrome baada ya toleo la 43 (kufikia Julai 2015) na sera hii itaondolewa wakati huo.

Sera hii isiposanidiwa basi Google Chrome hutumia toleo chaguo-msingi la chini ambalo ni SSLv3 katika Google Chrome 39 na TLS 1.0 katika matoleo ya baadaye.

Vinginevyo inaweza kuwekwa kuwa moja ya thamani zifuatazo: "sslv3", "tls1", "tls1.1" au "tls1.2". Ikiwekwa, Google Chrome haitatumia matoleo ya SSL/TLS chini ya toleo lililobainishwa. Thamani ambayo haitatambulika itapuuzwa.

Kumbuka kwamba, licha ya nambari, "sslv3" ni toleo la awali kuliko "tls1".

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Toleo la chini la SSL limewashwa


 1. TLS 1.0
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameSSLVersionMin
  Value TypeREG_SZ
  Valuetls1
 2. TLS 1.1
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameSSLVersionMin
  Value TypeREG_SZ
  Valuetls1.1
 3. TLS 1.2
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameSSLVersionMin
  Value TypeREG_SZ
  Valuetls1.2


chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)