Kiwango cha chini cha toleo la TLS cha kutumia kama kibadala

Onyo: Toleo la TLS mbadala litaondolewa kwenye Google Chrome baada ya toleo la 52 (kufikia Septemba 2016) na sera hii itaacha kufanya kazi wakati huo.

TLS ikishindwa kukubaliana, Google Chrome itajaribu kuunganisha tena kwa kutumia toleo la awali la TLS ili kutatua hitilafu katika seva za HTTPS. Mipangilio hii huweka toleo ambako mchakato huu mbadala huu utaacha kufanya kazi. Seva ikitekeleza makubaliano ya toleo vizuri (yaani bila kukata muunganisho) basi mipangilio hii haitumiki. Hata hivyo, lazima muunganisho unaotokea utii SSLVersionMin.

Ikiwa sera hii haitawekwa au ikiwekwa kuwa "tls1.2" basi Google Chrome haitatekeleza mbadala huu. Kumbuka hili halizimi matumizi ya matoleo ya awali ya TLS, ni iwapo tu Google Chrome itafanya kazi kwenye seva zenye hitilafu ambazo haziwezi kuendesha matoleo vizuri.

Vinginevyo, ikiwa ni lazima uoanifu na seva zenye hitilafu udumishwe, hii huenda ikawekwa hadi "tls1.1". Huu ni mkakati wa muda tu na seva inapaswa kurekebishwa haraka.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Kiwango cha chini cha toleo la TLS cha kutumia kama kibadala


  1. TLS 1.1
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameSSLVersionFallbackMin
    Value TypeREG_SZ
    Valuetls1.1
  2. TLS 1.2
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameSSLVersionFallbackMin
    Value TypeREG_SZ
    Valuetls1.2


chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)