Washa kipengee cha kuondoa URL ya PAC (kwa https://)

Huondoa sehemu muhimu za faragha na usalama za URL za https:// kabla ya kuzituma kwenye hati za PAC (Uwekaji Mipangilio ya Seva Mbadala Kiotomatiki) zinazotumiwa na Google Chrome wakati wa utatuzi wa seva mbadala.

Kikiwa Ndivyo, kipengele cha usalama huwashwa na URL za https:// huondolewa kabla ya kuziwasilisha kwenye hati ya PAC. Katika hali hii, hati ya PAC haiwezi kuona data ambayo kwa kawaida imelindwa na kituo kilichosimbwa kwa njia fiche (kama vile njia na hoja ya URL).

Kikiwa Sivyo, kipengele cha usalama huzimwa, na hati za PAC
hupewa uwezo wa kuona sehemu zote za URL za https://.
Hali hii inatumika kwenye hati zote za PAC bila kuzingatia asili yake (pamoja
na zile zilizoletwa kupitia uchukuaji usio salama, au zilizogunduliwa kwa njia isiyo salama kupitia WPAD).

Hii hubadilika kuwa Ndivyo (kipengele cha usalama kimewashwa), isipokuwa kwa watumiaji wa mfumo wa uendeshaji wa Chrome wa biashara ambapo hubadilika kuwa Sivyo kwa sasa.

Inashauriwa kipengele hiki kiwekwe Ndivyo. Sababu pekee ya kuiweka kuwa
Sivyo ni ikiwa inasababisha tatizo la kuoana na hati za sasa za PAC.

Kuna lengo la kuondoa ubatilishaji huu siku za usoni.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NamePacHttpsUrlStrippingEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)