Hudhibiti iwapo DNS teja ya kijenzi cha ndani inatumika katika Google Chrome.
Iwapo sera hii itawekwa kuwa ndivyo, DNS teja ya kijenzi cha ndani itatumiwa, iwapo itapatikana.
Iwapo sera hii itawekwa kuwa sivyo, DNS teja ya kijenzi cha ndani haitawahi kutumiwa.
Iwapo sera hii itawachwa bila kuwekwa, watumiaji wataweza kubadilisha iwapo DNS teja ya kijenzi cha ndani itatumika kwa kuhariri chrome://flags au kubainisha alama ya mstari wa amri.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | BuiltInDnsClientEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |