Hukuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url zinazobainisha tovuti zinazoruhusiwa kuunda ufunguo. Ikiwa ruwaza ya url iko katika 'KeygenBlockedForUrls', hiyo hubatilisha vighairi hivi.
Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, thamani chaguo-msingi ya kote duniani itatumiwa kwenye tovuti zote iwe ni kutoka sera ya 'DefaultKeygenSetting', ikiwa imewekwa, la sivyo mipangilio ya kibinafsi ya mtumiaji itatumika.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome\KeygenAllowedForUrls |
Value Name | {number} |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |