Weka saraka ya data ya mtumiaji wa Google Chrome Frame

Hupangilia saraka ambayo Google Chrome Frame itatumia kwa kuhifadhi data ya mtumiaji.

Ukiweka sera hii, Google Chrome Frame itatumia saraka iliyotolewa.

Angalia https://www.chromium.org/administrators/policy-list-3/user-data-directory-variables kwa orodha ya vigezo vinavyoweza kutumiwa.

Ikiwa mipangilio hii itasalia bila kuwekwa saraka chaguo-msingi ya wasifu itatumiwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Weka saraka ya data ya mtumiaji

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameGCFUserDataDir
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)