Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala

Hukuruhusu kubainisha seva mbadala inayotumiwa na Google Chrome na huzuia watumiaji kubadilisha mipangilio ya seva mbadala.

Ukichagua kutotumia seva mbadala kamwe na kuunganisha moja kwa moja kila wakati, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua kutumia mipangilio ya mfumo wa seva mbadala, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua kugundua seva mbadala kiotomatiki, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua hali ya seva mbadala isiyobadilika, unaweza kubainisha chaguo zaidi katika 'Anwani au URL ya seva mbadala' na 'Orodha iliyotenganishwa kwa koma ya sheria za ukwepaji wa seva mbadala'. Ni seva mbadala ya HTTP yenye umuhimu mkubwa pekee ndiyo inayopatikana kwa programu za ARC.

Ukichagua kutumia seva mbadala ya hati ya .pac, lazima ubainishe URL ya hati katika 'URL ya seva mbadala ya faili ya .pac'.

Kwa mifano ya kina, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett.

Ukiwasha mipangilio hii, Google Chrome programu za ARC zitapuuza chaguo zote zinazohusishwa na seva mbadala zilizobainishwa kwenye mstari wa amri.

Usipoweka sera hii, utawaruhusu watumiaji kuchagua mipangilio ya seva mbadala wenyewe.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala

  1. Usitumie proksi kamwe
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameProxyMode
    Value TypeREG_SZ
    Valuedirect
  2. Gundua mipangilio ya proksi moja kwa moja
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameProxyMode
    Value TypeREG_SZ
    Valueauto_detect
  3. Tumia hati ya proksi ya .pac
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameProxyMode
    Value TypeREG_SZ
    Valuepac_script
  4. Tumia seva za proksi thabiti
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameProxyMode
    Value TypeREG_SZ
    Valuefixed_servers
  5. Tumia mipangilio ya proksi ya mfumo
    Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
    Value NameProxyMode
    Value TypeREG_SZ
    Valuesystem

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)