Inabainisha idadi ya juu ya miunganisho sawia katika seva ya proksi.
Seva nyingine za proksi haziwezi kushughulikia idadi kubwa ya miunganisho inayoendana kwa kila mteja na hii inaweza kutatuliwa kwa kuweka sera hii hadi katika thamani ya chini.
Thamani ya sera hii inapaswa kuwa chini ya 100 na kubwa kwa 6 na thamani chaguo-msingi ni 32.
Programu nyingine za wavuti zinajulikana kutumia miunganisho mingi kwa GET zinazoning'inia, kwa hivyo kupunguza chini ya 32 kunaweza kusababisha kuning'inia kwa mytando wa kuvinjari ikiwa programu nyingi kama hizo zimefungka. Punguza hadi chini ya chaguo-msingi kwa tahadhari yako.
Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa thamani chaguo-msingi itatumika ambayo ni 32.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | MaxConnectionsPerProxy |
Value Type | REG_DWORD |
Default Value | |
Min Value | 0 |
Max Value | 2000000000 |