Huzima programu ya ndani ya kusoma PDF katika Google Chrome. Badala yake huichukulia kama kupakuliwa na huruhusu mtumiaji kufungua faili za PDF kwa kutumia programu chaguo-msingi.
Sera hii ikiachwa bila kuwekwa au ikizimwa, programu-jalizi ya PDF itatumiwa kufungua faili za PDF isipokuwa mtumiaji awe ameizima.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | AlwaysOpenPdfExternally |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |