Mpangilio wa arifa chaguo-msingi

Inakuruhusu kuweka iwapo tovuti zinaruhusiwa kuonyesha arifa. Kuonyesha arifa za eneo-kazi kunaweza kuruhusiwa kwa chaguo-msingi, kukataliwa kwa chaguo-msingi au mtumiaji anawewa kuulizwa kila wakati tovuti inayotaka kuonyesha arifa za eneo-kazi.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa, 'AskNotifications' itatumika na mtumiaji ataweza kuibadilisha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Mpangilio wa arifa chaguo-msingi

 1. Ruhusu tovuti kuonyesha arifa za eneo-kazi
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameDefaultNotificationsSetting
  Value TypeREG_DWORD
  Value1
 2. Usiruhusu tovuti yoyote ionyeshe arifa kwenye eneo-kazi
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameDefaultNotificationsSetting
  Value TypeREG_DWORD
  Value2
 3. Uliza kila mara tovuti inapotaka kuonyesha arifa za eneo-kazi
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameDefaultNotificationsSetting
  Value TypeREG_DWORD
  Value3

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)