Weka Google Chrome kama Kivinjari Chaguo-msingi

Inasanidi ukaguzi wa kivinjari chaguo-msingi kwenye Google Chrome na kuzuia watumiaji kwa kuvibadilisha.

Ukiwezesha mpangilio huu, Google Chrome kila mara itakagua inapoanza iwapo ni kivinjari chaguo-msingi na kujisajili binafsi kiotomatiki ikiwezekana.

Ikiwa mpangilio huu umelemazwa, Google Chrome haitakagua ikiwa ni kivinjari chaguo-msingi na italemaza vidhibiti vya mtumiaji vya kuweka chaguo hili.

Ikiwa mpangilio huu haujawekwa, Google Chrome itaruhusu mtumiaji kudhibiti iwapo ni kivinjari chaguo-msingi na iwapo arifa za mtumiaji zitaonyeshwa wakati siyo.

Supported on: SUPPORTED_WIN7_ONLY

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultBrowserSettingEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)