Bainisha orodha ya programu jalizi ambayo mtumiaji anaweza kuwezesha au kulemaza

Hubainisha orodha ya programu-jalizi ambazo mtumiaji anaweza kuwasha au kuzima katika Google Chrome.

Herufi wakilishi za '*' na '?' zinaweza kutumika kulinganisha msururu wowote wa herufi zisizo na mpangilio maalum. '*' hulinganisha idadi ya herufi zisizokuwa na mpangilio maalum huku '?' ikibainisha herufi moja ya hiari, kama vile kulinganisha herufi za sufuri au moja. Herufi ya kuondoka ni '\', hivyo kulinganisha herufi halisi za '*', '?', au '\' , unaweza kuweka '\' mbele yake.

Ukiwasha mpangilio huu, orodha iliyobainishwa ya programu-jalizi inaweza kutumika katika Google Chrome. Watumiaji wanaweza kuziwasha au kuzizima katika 'kuhusu:programu-jalizi', hata kama programu-jalizi pia inalingana na mchoro katika DisabledPlugins. Watumiaji pia wanaweza kuwasha au kuzima programu-jalizi ambazo hazilingani na michoro yoyote katika DisabledPlugins, DisabledPluginsExceptions and EnabledPlugins.

Sera hii imewekwa ili kuruhusu uwekaji kwenye orodha ya zilizoondolewa idhini ambapo orodha ya 'DisabledPlugins' ina maingizo ya herufi wakilishili kama kuzima programu-jalizi zote '*' au kuzima programu-jalizi zote za Java '*Java*' lakini msimamizi angependa kuwasha toleo fulani maalum la 'IcedTea Java 2.3'. Toleo hili maalum linaweza kubainishwa katika sera hii.

Kumbuka kuwa jina la programu-jalizi na jina la kikundi cha programu-jalizi lazima lipewe ruhusa. Kila kikundi cha programu-jalizi huonyeshwa katika sehemu tofauti katika kuhusu:programu-jalizi; kila sehemu inaweza ikawa na programu-jalizi moja au zaidi. Kwa mfano, programu-jalizi ya "Shockwave Flash" iko kwenye kikundi cha "Kichezaji cha Adobe Flash", na majina yote lazima yalingane na orodha ya matarajio iwapo programu-jalizi hiyo itapewa ruhusa kwenye orodha ya zilizoondolewa idhini.

Sera hii isipowekwa programu-jalizi yoyote ambayo inalingana na michoro katika 'DisabledPlugins' itafungwa izimwe na watumiaji hawataweza kuiwasha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Orodha ya vighairi katika orodha ya programu jalizi zilizolemazwa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\DisabledPluginsExceptions
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)