Hukuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url ambazo zinabainisha tovuti zinazoruhusiwa kuweka vidakuzi vya kipindi pekee.
Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, thamani chaguo-msingi ya dunia itatumiwa kwa tovuti zote iwe ni kutoka sera ya 'DefaultCookiesSetting' ikiwa imewekwa, au sivyo usanidi wa kibinafsi wa mtumiaji utatumika.
Kumbuka kwamba ikiwa Google Chrome inatekeleza katika 'hali ya chini chini, kipindi hakitafungwa dirisha la mwisho la kivinjari linapofungwa, badala yake litaendelea kutumika hadi kivinjari kifunge. Tafadhali angalia sera ya 'BackgroundModeEnabled' kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kusanidi tabia hii.
Ikiwa sera ya "RestoreOnStartup" itawekwa kurejesha URL za vipindi vya awali, sera hii haitazingatiwa na vidakuzi vitahifadhiwa kabisa kwa tovuti hizo.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome\CookiesSessionOnlyForUrls |
Value Name | {number} |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |