Kwa kawaida kurasa Zinazooana na X-UA zilizowekwa kwa chrome=1 zitaonyeshwa katika Google Chrome Frame bila kujali sera ya 'ChromeFrameRendererSettings'.
Ukiwasha mpangilio huu, kurasa hazitachanganuliwa kwa metatagi.
Ukizima mpangilio huu, kurasa zitachanganuliwa kwa metatagi.
Kama sera hii haitawekwa, kurasa zitachanganuliwa kwa metatagi.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | SkipMetadataCheck |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |