Kigezo kinachodhibiti uwekaji wa hoja ya utafutaji kwa mtoa huduma ya utafutaji chaguo-msingi

Sera hii ikiwekwa na URL ya utafutaji inayopendekezwa kutoka kwenye sandukuu iwe na kigezo hiki katika mtiririko wa hoja au katika kitambulishi cha kipande, basi pendekezo litaonyesha maneno ya utafutaji na mtoa huduma ya utafutaji badala ya URL ya utafutaji ghafi.

Sera hii ni ya hiari. Isipowekwa, mabadiliko ya hoja ya utafutaji hayatatekelezwa.

Sera hii inaheshimiwa tu iwapo sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewezeshwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Kigezo kinachodhibiti uwekaji wa hoja ya utafutaji kwa mtoa huduma ya utafutaji chaguo-msingi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderSearchTermsReplacementKey
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)