Hubainisha iwapo uboreshaji wa kipengee cha TLS False Start unapaswa kuzimwa. Kwa sababu za kihistoria, sera hii inaitwa DisableSSLRecordSplitting.
Sera hii isipowekwa, au ikiwekwa kuwa sivyo, basi kipengee cha TLS False Start kitawashwa. Ikiwekwa kuwa ndivyo, kipengee cha TLS False Start kitazimwa.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | DisableSSLRecordSplitting |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |