Sera hii ikitekelezwa, hulazimisha alamisho kuingizwa kutoka kivinjari chaguo-msingi cha sasa. Ikitekelezwa, sera hii pia itaathiri kidadisi cha kuingiza.
Isipotekelezwa, hakuna alamishi zitakazoingizwa.
Ikiwa hii haitawekwa, huenda mtumiaji akaulizwa aingize alamisho, au huenda zikaingizwa kiotomatiki.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | ImportBookmarks |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |