Mipangilio hii ikiwashwa, Google Chrome itatumia commonName la cheti cha seva kulinganisha jina la mpangishaji ikiwa cheti hakina kiendelezi cha subjectAlternativeName, mradi tu kinathibitisha na kuungansiha kwenye vyeti vya CA vilivyosakinishiwa ndani ya kifaa.
Kumbuka kwamba hali hii haipendekezwi, kwa sababu inaweza kusababisha kukwepa kiendelezi cha nameConstraints kinachozuia majina ya wapangishaji ambayo cheti maalum kinaweza kuidhinishwa kushughulikia.
Sera hii isipowekwa, au ikiwekwa kuwa sivyo, vyeti vya seva visivyo na kiendelezi cha subjectAlternativeName kilicho na jina la DNS au anwani ya IP havitaaminiwa.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | EnableCommonNameFallbackForLocalAnchors |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |