Mipangilio hii ikiwashwa, Google Chrome huruhusu vyeti vya sahihi ya SHA-1 muradi tu vinathibitisha kikamilifu na kuunganisha kwenye vyeti vya CA vilivyosakinishwa ndani.
Kumbuka kwamba sera hii inategemea bunda la kuthibitisha cheti cha mfumo wa uendeshaji kuruhusu sahihi za SHA-1. Ikiwa sasisho la Mfumo wa Uendeshaji litabadilisha Mfumo wa Uendeshaji unaoshughulikia vyeti vya SHA-1, sera hii haitakuwa na athari tena. Aidha, sera hii inanuiwa kutumiwa kama njia ya muda ya kuzipa biashara muda zaidi wa kuhama SHA-1. Sera hii itaondolewa mnamo au kufikia tarehe 1 Januari 2019.
Sera hii isipowekwa au ikiwekwa kuwa sivyo, basi Google Chrome itafuata ratiba iliyotangazwa hadharani ya SHA-1 kuacha kuendesha huduma.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | EnableSha1ForLocalAnchors |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |