URL ambazo zitapewa ufikiaji wa vifaa vya kunasa sauti bila ushawishi

Ruwaza katika orodha hii zitalinganishwa dhidi ya asili ya usalama wa
ombi la URL. Zikilingana, idhini ya kufikia vifaa vya
kunasa sauti itatolewa bila ombi.

KUMBUKA: Kabla ya toleo la 45, sera hii ilitumika katika Skrini nzima pekee.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

URL ambazo zitapewa ufikiaji wa vifaa vya kunasa sauti bila ushawishi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\AudioCaptureAllowedUrls
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)