Lazimisha Kiwango cha chini cha Hali yenye Mipaka kwenye YouTube

Hutekeleza kiwango cha chini cha Hali yenye Mipaka kwenye YouTube na huwazuia watumiaji
kuchagua hali ambayo haijawekewa mipaka mingi.

Mipangilio hii ikiwekwa kuwa ya Lazima, Hali yenye Mipaka ya Lazima kwenye YouTube
inafanya kazi kila wakati.

Mipangilio hii ikiwekwa kuwa ya Wastani, mtumiaji anaweza kuchagua Hali yenye Mipaka ya Wastani pekee na Hali yenye Mipaka ya Lazima kwenye YouTube,
lakini hawezi kuzima Hali yenye Mipaka.

Mipangilio hii ikiwekwa kuwa Imezimwa au hakuna thamani iliyowekwa, Hali yenye Mipaka kwenye YouTube haitatekelezwa na Google Chrome. Sera za nje kama vile sera za YouTube bado zinaweza kutekeleza Hali yenye Mipaka.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Lazimisha Kiwango cha chini cha Hali yenye Mipaka kwenye YouTube

 1. Usitekeleze Hali yenye Mipaka kwenye YouTube
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameForceYouTubeRestrict
  Value TypeREG_DWORD
  Value0
 2. Tekeleza angalau Hali Yenye Mipaka Wastani kwenye YouTube
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameForceYouTubeRestrict
  Value TypeREG_DWORD
  Value1
 3. Tekeleza Hali yenye Mipaka ya Lazima kwa YouTube
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameForceYouTubeRestrict
  Value TypeREG_DWORD
  Value2

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)