Wezesha ubashiri wa mtandao

Inawezesha ubashiri wa mtandao kwenye Google Chrome na kuzuia watumiaji kubadilisha mpangilio huu.

Hii haidhibiti tu uletaji awali wa DNL lakini pia unganishaji awali na uonyeshaji awali wa kurasa za wavuti za TCP na SSL. Jina la sera linarejelea uletaji awali wa DNS kwa sababu za kihistoria.

Ukiwezesha au kulemaza mpangilio huu, watumiaji hawawezi kubadilisha au kufuta mpangilio huu kwenye Google Chrome.

Iwapo sera hii itasalia kama haijawekwa, hii itawezeshwa lakini mtumiaji ataweza kuibadilisha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDnsPrefetchingEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)