URL hadi proksi ya faili ya .pac

Unaweza kubainisha URL ya seva mbadala ya faili ya .pac hapa.

Sera hii inatumika tu ikiwa umechagua mipangilio ya kujiundia ya seva mbadala kwenye 'Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala'.

Unapaswa kuacha sera hii bila kuiweka ikiwa umechagua hali nyingine yoyote ya kuweka sera za seva mbadala.

Ili upate mifano ya kina, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett

Supported on: SUPPORTED_WIN7

URL hadi proksi ya faili ya .pac

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameProxyPacUrl
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)