Huwasha kulazimisha kuingia kwa Google Chrome.

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, lazima mtumiaji aingie katika Google Chrome kwa kutumia wasifu wake kabla ya kutumia kivinjari. Na thamani chaguo-msingi ya BrowserGuestModeEnabled itawekwa kuwa sivyo.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo au isipowekwa, mtumiaji anaweza kutumia kivinjari bila kuingia katika Google Chrome.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameForceBrowserSignin
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)