Huweka mipangilio ya saraka ambayo Google Chrome itatumia kuhifadhi faili zilizoakibishwa kwenye diski.
Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia saraka iliyotolewa bila kujali kama mtumiaji amebainisha ripoti ya '--disk-cache-dir' au la. Ili kuepuka kupoteza data au hitilafu zisizotarajiwa, sera hii haipaswi kuwekwa kuwa thamani ya kipeo cha saraka au kwenye saraka iliyotumiwa kwa madhumuni mengine, kwa sababu Google Chrome hudhibiti maudhui yake.
Angalia https://www.chromium.org/administrators/policy-list-3/user-data-directory-variables upate orodha ya aina zinazoweza kutumiwa.
Sera hii isipowekwa saraka ya akiba chaguo-msingi itatumiwa na mtumiaji ataweza kuibatilisha kwa amri ya ripoti ya mstari ya '--disk-cache-dir'.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | DiskCacheDir |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |