Huweka mipangilio ya saraka ambayo Google Chrome itatumia kuhifadhi data ya mtumiaji.
Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia saraka iliyotolewa bila kujali iwapo mtumiaji amebainisha ripoti ya '--user-data-dir' au la. Ili kuepuka kupoteza data au hitilafu zisizotarajiwa sera hii haipaswi kuwekwa kuwa thamani ya kipeo cha saraka au saraka iliyotumiwa kwa madhumuni mengine, kwa sababu Google Chrome inadhibiti maudhui yake.
Angalia https://www.chromium.org/administrators/policy-list-3/user-data-directory upate orodha ya aina zinazoweza kutumiwa.
Sera hii isipowekwa njia ya wasifu chaguo-msingi itatumiwa na mtumiaji ataweza kuibatilisha kwa amri ya ripoti ya mstari ya '--disk-cache-dir'.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | UserDataDir |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |