Njia Mbadala ya Kivinjari

Bainisha utekelezaji wa kivinjari mbadala.
Hukuruhusu kubainisha programu itakayotumika kama kivinjari mbadala.

Kama imewashwa unaweza kubainisha njia kamili katika sera au utumie moja ya vipengele vifuatavyo:

${ie} - Eneo chaguo-msingi la kusanikisha Internet Explorer
HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows\CurrentVersion\App Paths\IEXPLORE.EXE inatumika kuchagua eneo la kivinjari katika hali hii.
${firefox} - Eneo chaguo-msingi la kusanikisha Firefox
HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows\CurrentVersion\App Paths\FIREFOX.EXE inatumika kuchagua eneo la kivinjari katika hali hii.
${safari} - Eneo chaguo-msingi la kusanikisha Safari
HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows\CurrentVersion\App Paths\SAFARI.EXE inatumika kuchagua eneo la kivinjari katika hali hii.

Kama sera imezimwa au kuachwa tupu chaguo-msingi la kivinjari mbadala litatumika ambalo ni Internet Explorer iliyobainishwa kana kwamba thamani ya ${ie } imetumika.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi

Njia Mbadala ya Kivinjari

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy
Value Namealternative_browser_path
Value TypeREG_SZ
Default Value

legacybrowsersupport.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)