Hukuruhusu kubainisha kitekelezaji cha Chrome kitakachozinduliwa inaporejea kutoka kwenye kivinjari mbadala(*).
Wakati sera inapowashwa unaweza kubainisha njia kamili katika sera au utumie kipengele kifuatacho:
${chrome} - Eneo chaguo-msingi la kusanikisha Chrome
HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows\CurrentVersion\App Paths\Chrome.EXE inatumika kuchagua eneo la kivinjari katika hali hii.
Kama sera imezimwa au kuachwa tupu usanikishaji chaguo-msingi wa Chrome utatumika kana kwamba ${chrome} imetumika.
*: Kwa sasa ni Internet Explorer pekee inayoweza kutumiwa kurudi kwenye Chrome kiotomatiki.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy |
Value Name | chrome_path |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |