Hukuruhusu kubainisha kinachotendeka kichupo cha mwisho kilicho wazi katika Chrome kinapoelekezwa kwenye kivinjari mbadala.
Sera hii inapowashwa au kutowekwa, kichupo cha mwisho kitaachwa wazi na kuelekezwa kwenye ukurasa mpya wa kichupo baada ya mabadiliko. Ikizimwa basi kichupo cha mwisho kitafungwa na kusababisha kufunga Chrome ikiwa hakuna madirisha mengine kwenye Chrome yaliyo wazi.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy |
Value Name | keep_last_chrome_tab |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |