Seva pangishi Zitafungukia Katika Kivinjari Mbadala

Hukuruhusu kubainisha orodha ya majina ya kikoa ya wapangishi ya kufunguliwa katika kivinjari Mbadala.

Kama sera imewashwa lazima utoe orodha ya vichujio vitakavyoanzisha utaratibu wa kubadilisha kwenda kwenye kivinjari mbadala. Kila jina linalobainishwa linapaswa kuwa na mojawapo ya aina nne zinazofuata:

Sehemu ya jina la mpangishi: Majina kamili ya kikoa kama "www.example.com" yanapaswa kubainishwa au sehemu yazo kama "example.com" au hata "example". Herufi wakilishi bado hazitumiki.
Kiambishi cha URL: Viambishi vya URL sahihi pekee ndivyo vinavyolinganishwa kikamilifu pamoja na itifaki na tundu ikihitajika. Mf. "http://login.example.com" au "https://www.example.com:8080/login/". Uingizaji hasi: Huanza kwa "!" na kuendelea kama sehemu ya jina la mpangishi au kiambishi cha URL kama ilivyoelezwa hapo juu. Uingizaji hasi hufunguliwa katika Chrome wakati wote. Mf. "!example.com" au "!file:///c:/localapp/".
Uingizaji wa herufi wakilishi: Huwa na herufi moja ya "*". Hulingana na URL yoyote. Inakusudiwa kutumiwa pamoja na uingizaji hasi, ikiwa URL nyingi zinapaswa kufunguliwa katika kivinjari mbadala na URL chache pekee zinapaswa kufunguliwa katika Chrome.

Uingizaji hasi una vipaumbele vya juu zaidi kuliko uingizaji chanya unaoruhusu kutoa idhini mafungu makubwa ya kikoa huku ukihifadhi sehemu ndogo zaidi za kufunguliwa katika Chrome.
Uingizaji wa herufi wakilishi kama upo unatumika baada ya sheria nyingine zote kuangaliwa.

Itifaki zinazofuata zinafuatiliwa kwa kuelekeza kwingine: http:, https:.

Kama hazijabainishwa au hazijaongezwa - utaratibu wa kubadilisha kwenda kwenye kivinjari mbadala hautaanzishwa.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi

Seva pangishi Zitafungukia Katika Kivinjari Mbadala

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy\url_list
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

legacybrowsersupport.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)