Seva pangishi Zisizopaswa Kuanzisha Mabadiliko katika Kivinjari Chochote

Hukuruhusu kubainisha orodha ya majina ya kikoa yatakayofunguliwa katika kivinjari mojawapo.

Sera hii inapowashwa, vikoa katika orodha hii vitapatikana katika vivinjari vyote viwili na havitaanzisha mabadiliko kwa njia yoyote.

Hali inayowezekana ya matumizi ni vikoa vyovyote vya uthibitishaji ambavyo vinashirikiwa kati ya programu mpya na zilizopitwa na wakati katika orodha hii.

Sehemu za Majina ya Mpangishi: Ama majina ya kikoa kamili kama "www.example.com" yanapaswa kubainishwa au sehemu zake kama "example.com: au hata "example". Herufi wakilishi bado hazitumiwi. Viambishi vya URL: Viambishi vya URL sahihi pekee ndivyo vinalinganishwa kikamilifu na itifaki na mlango ikihitajika. Kwa mfano "http://login.example.com" au "https://www.example.com:8080/login/".


Kama haijabainishwa ama imeachwa tupu - kikoa chochote ambacho hakipo kwenye orodha ya "Wapangishi Wafungulie Katika Kivinjari Mbadala" kitaanzisha mabadiliko ya kurudi kwenye Chrome(*).

*: Kwa sasa ni Internet Explorer pekee inayoweza kuanzisha utaratibu wa kurudi kwenye Chrome kiotomatiki.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi

Seva pangishi Zisizopaswa Kuanzisha Mabadiliko katika Kivinjari Chochote

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy\url_greylist
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

legacybrowsersupport.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)