Hoja za Chrome

Hukuruhusu kubainisha hoja za kupelekwa kwenye Chrome wakati inapotekelezwa.

Kama sera imewashwa vigezo vilivyotolewa vitatumika wakati Chrome inapotekelezwa.

Unaweza pia kutumia kishika nafasi maalum ${url} kubainisha url inapopaswa kutokea katika mstari wa amri. Mf. "--url=${url} --kiosk".
Sio lazima ubainishe kishika nafasi ikiwa kinapaswa kuambatishwa mpaka
mwisho au iwapo kinapaswa kuwa hoja pekee unaweza kuacha sera hiyo tupu.

Kama sera imezimwa au imeachwa tupu url pekee ndiyo itakayopitishwa kama kigezo cha kivinjari.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi

Hoja za Chrome

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy
Value Namechrome_arguments
Value TypeREG_SZ
Default Value

legacybrowsersupport.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)