Hoja Mbadala za Kivinjari

Hukuruhusu kubainisha hoja zitakazopelekwa kwenye kitekelezi cha kivinjari mbadala.

Kama sera imewashwa vigezo vilivyotolewa vitatumika wakati wa utekelezaji wa kivinjari mbadala.

Unaweza pia kutumia kishika nafasi maalum ${url} kubainisha url inapopaswa kutokea katika mstari wa amri. K.m. "--url=${url} --kiosk".
Siyo lazima ubainishe kishika nafasi ikiwa kinapaswa kuambatishwa mpaka mwisho au iwapo kinapaswa kuwa hoja pekee unaweza kuacha sera hiyo tupu.

Kama sera imezimwa au haijaongezwa, url pekee ndiyo itakayopitishwa kama kigezo cha kivinjari.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi

Hoja Mbadala za Kivinjari

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\3rdparty\Extensions\heildphpnddilhkemkielfhnkaagiabh\policy
Value Namealternative_browser_arguments
Value TypeREG_SZ
Default Value

legacybrowsersupport.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)